Saturday diet

Asubuhi

Ukiamka tu bila ya kufanya chochote kunywa maji nusu lita.

Tembea kwa dk 45. Kama asubuhi si muda mzuri kwako chagua muda wako mwingine.

Mix fruit salad with kijiko kimoja cha karanga au korosho. Angalia usiweke banana au embe. Changanya vyote pamoja na yoghurt kidogo.

Mchana

Any kind of fish (mi napendelea Salmon fish) pamoja na salad ya kutosha unaweza changanya aina yoyote ya salad ila isiwe na carrot. Kiwango cha salad unaweza kula kiasi chochote unachoweza wewe ila jitahidi isiwe kidogo. Dressing chukua kijiko cha olive oil changanya na nusu ndimu.

Kabla ya saa kumi na moja

Cucumber(tango) moja na guacamole ya nusu ovacado ndogo.

Kumbuka

Usisahau kunywa maji lita 2, mpaka ifikapo muda wa kwenda kulala. Pia usisahau kutembea au kufanya mazoezi yoyote angalau kwa saa moja au zaidi. Lala masaa 8 kila siku, jaribu kwenda kulala mapema.

Sunday:  Ni siku yako ya kujiachia kula chochote unachotaka kwa muda unaotaka wewe mpaka ifikapo midnight. Diet yako inaanza tena Monday kama kawaida. Mimi huwa natumia siku hii kula vitu vyote ambavyo napenda ili nisipate tamaa ya kuvila katikati ya wiki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Safiri na Zawadi