My First 3 Yrs

3yrs old

She is the cygnet who is turning into a swan… and her name so suits her character. Such a sweetie! Ameweza kukaa, kutambaa na kutembea kwa muda wenyewe kabisa. Katika miaka yake mitatu amepata bahati ya kutembelea nchi kadhaa ikiwepo Tanzania her mum land, Australia kwao, France, Iceland, UK, UAE, Oman, Singapore, Thailand and Malaysia. Amepata bahati ya kutembelea Zoo in Gold Coast and Dream World in Australia pia Dream World Bangkok. Alipokua na mwaka na nusu aliweza anza nursery school ambayo anaipenda sana.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Safiri na Zawadi