My 4th Year

My school photo

Kitu kikubwa katika safari yangu ya kuelekea miaka minne ilikua ni kuanza my Pre-School. I love my school, my teachers ambao ni 3 wakiongozwa na Mrs. William pia nimepata marafiki wengi ambao wote tuko darasa moja Pre-School W.

My teacher Mrs. Williams
Tulifanya mambo mengi shule kuanzia kupanda nyanya..
Kusoma vitabu library..
Arts...
Games & Puzzles
Reading books
Pia tuliweza kuwa pirates
Tuliwakilisha National Day
Costume party
Yes, I'm tiger
Tiger Amani
Siku za PE day tunavaa white

Niliweza kwenda summer holiday na kufurahia mambo mengi sana. Nilipata nafasi pia ya kutembelea nchi mbali mbali ikiwemo Singapore ambapo ndio tulianzia our summer holiday

Ndani ya Qatar Airways to Singapore
Tukiwa tumewasili Singapore Airport
Tukiwa Singapore
The view from chumba chetu cha hotel Singapore
Adventure tukiwa Sentosa Singapore
Nilifurahia hii adventure na my dad, Sentosa Singapore
Nikiwa na dada yangu Malaika na baba ndani ya gari tukielekea Airport tayari kwa safari ya kuelekea Australia
Mi nikiwa ndani ya gari

Baada ya kupata fun Singapore tulielekea Brisbane Australia huko tulikwenda moja kwa moja Gold Goast. Nilipata nafasi ya kutembelea Dream World na kupata nafasi ya kutembelea  Wiggles House at this time nilikua nawapenda sana.

Tukiwa tumewasili Brisbane Airport Australia
Nilipenda holiday house ambayo tulipanga ilikua swimming pool...
Pia ilikua na garden nzuri sana
Siku iliyofuata tulienda kuangalia wanyama zoo, hapa nikiwa na my little sis Malaika
Nilifurahia kuona Kangaroo na kupata nafasi ya kukaa nae karibu...
Pia kupata nafasi ya kumpa chakula, alikua ni Kangaroo mzuri yuko rafiki
Tulipata pia muda wa kucheza tukiwa zoo, hapa nikiwa na dada yangu Malaika
Nikifurahi na kucheza
Siku iliyofuata tulienda Dream World, hapa nikiwa na Malaika na Captain Feathersword
Tukizunguka kwenye Dorothy Diagnasor cup
Pia nilijaribu water flume ride nikiwa na my daddy, big sis Hayley & Malaika
Pia niliendesha taxi car
Nilifurahi sana
Nikiwa na my mummy & my sis Malaika
Hatukuweza maliza kwa siku moja, tumerudi siku inayofuata. Nikiwa na my mummy & my sis Malaika
Aawww....
Nilijaribu michezo mingi sana
Hapa nikiwa na my sis Malaika
Nikiwa na family tukipata breakfast
Nimefurahia sana hapa, kesho tunaelekea mji mwingine Adelaide

Baada ya kufurahia Gold Coast safari ya kuelekea Adelaide ilifika ambapo nilienda kukutana na ndugu zangu wengi.

Tulifikia Hyatt Hotel Adelaide kwa siku kadhaa hapa nikiwa na dada Malaika in our room
Nikiwa na mama na dada Malaika Hyatt Regency Hotel Adelaide
Nilipata nafasi ya kutembelea park ambayo iko karibu na hotel
Nikiwa na shemeji Sarah na kaka Brad
Nikiwa na dada Malaika & cousin Natasha
At the beach with cousin Natasha & sis Malaika
Tukiwa ndani ya vintage car ya uncle Neville nyumbani kwake
Pizza night with family

Baada ya kutoka Adelaide tulienda kumsalimia dada yangu Jenny anayeishi Hobart (Tasmania)

Nikiwa na sis Jenny pamoja na her fiance David
With my mummy & sis Malaika

Tulivyotoka Hobart tulielekea Sydney kutembea maana mama anakupenda sana.

Nikiwa Opera House Sydney Harbour with my mummy & sis
Nilitembelea Opera House, Sydney Harbour with my mummy & sis
Nikiwa Sydney Harbour with my mummy & my sis Malaika
Nikiwa na my daddy & my sis, Sydney Harbour
Mi iko lala choka sana. Nyuma yangu ni view ya Opera House Sydney

Hapa ilikua ni sehemu yetu ya mwisho Australia, kesho tunasafiri kuelekea Malaysia for few days then Krabi Thailand harafu tunamalizia holiday yetu Bangkok then back home.

Nikiwa nje ya Twin Tower Malaysia
Nimeshafika Krabi Thailand nikifurahia beach, hii beach wanasema one of the most beautiful in the world. I'm happy to be here
Tuko ndani ya boat tukielekea mjini kwenda kujifunza kupika Thai food
Tulienda kujifunza kupika Thai food hahahaaa...
Tukiwa busy mimi na dada yangu
Nikiwa na dada yangu Skye, my daddy & Malaika pembeni ya pool tukipata lunch

Baada ya kurelax kwa siku chache Krabi tulielekea Bangkok. Nime enjoy sana kwenye hii holiday yangu, my asante kwa mama na baba xoxo

 

Thailand bila kupanda tembo haiwezekani, hapa nikiwa na mama kwenye Elephant ride

Pia nilipata nafasi ya kutembelea Tanzania ambapo tulienda na mama na mdogo wangu Malaika.

Nikiwa na dada yangu nje ya Airport tukifurahia zawadi alizotuletea aunt Judy

Ilikua ni furaha tele pale dada Skye na shemeji Simon walipokuja kututembelea na kula Christmas pamoja nasi, niliweza kwenda nao kutembea  country side na kujionea mambo mengi.

Nikiwa picnic na shemeji Simon, dada Skye & my little sis Malaika
Nikiwa Jeber Shams with my daddy & Malaika
Nikiwa na my sis at Jabrin Fort

Muda wa Xmas ulivyowadia nilikua na furaha tele maana hii itakuwa Christmas yangu ya nne na Santa alikua very generous kwangu mwaka huu nilipata zawadi nyingi sana.

Asubuhi ya Xmas ndio nimeamka tu na kukuta Santa kaleta zawadi nyingi kwenye tree, niko very happy
Moja ya zawadi zangu, nawapenda sana Reptiles
Hapa shemeji Simon akinisomea kitabu changu
Nikiwa na my mama
Kama kawaida jioni tulienda kupiga Xmas photo ni traditional yetu
Xmas photo nikiwa na my family
My 4th Xmas
My 4th Xmas

Mambo mengi niliweza fanya katika safari yangu ya kuelekea miaka minne pia sikupata tatizo la kuumwa au kusumbuliwa na kitu kikubwa. Mama anasema inabidi niwe namshukuru mungu kila wakati kwa kunipa afya njema na maisha niliyonayo. Namshukuru sana mungu kaniwezesha kufikisha miaka yangu minne salama.

Niko happy
Nikiwa na dada yangu Malaika tukiwa tumetoka kuoga
Birthday party, I'm a tiger
Nikiwa na aunt Tina xx
Nikiwa chumbani kwetu

Nikicheza chumbani kwetu

Napenda sana baloons
Nikicheza chumbani
Can't wait to be 4

 

4 thoughts on “My 4th Year”

  1. Hello it’s me, I am also visiting this website regularly, this site is actually nice and the visitors are genuinely sharing fastidious thoughts.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Safiri na Zawadi