Our Xmas holiday 2007

Xmas photo portrait

What a lovely year! Mwaka huu tulimkaribisha another member kwenye familia yetu mrembo wetu bibie Malaika Imani Linda. Ikiwa ni Xmas yake ya kwanza akiwa anakimbilia miezi mitatu kipindi hichi familia ilikua na furaha kubwa sana. Kaka mtu Amani Matthew Rodney yeye ilikua Xmas yake ya pili alikua na furaha tele kusheherekea na mdogo wake. Upande wangu siwezi hata kusema furaha niliyokua nayo maana nilibarikiwa zawadi kubwa sana ya mtoto wa kike nilijiona ni mama mwenye bahati sana kupata mtoto wa kiume na wa kike, kwa hiyo nilikua na sababu hasa ya kufurahia hii holiday sijui nimshukuru vipi mwenyezi mungu zaidi ya kusema asante sana.

Christmas Day

I feel really blessed. I can’t wait kusheherekea another more Xmas with my beautiful family ambayo mwenyezi mungu kanibariki kuwa nayo, nitaendelea kumshukuru siku zote kwenye maisha yangu kwa kila jambo. Happy holidays guys……Cheers!!!!

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Safiri na Zawadi