Monday diet

Asubuhi

Maji nusu lita baada tu ya kutoka kitandani.

Tembea kwa dk 45. Kama asubuhi si muda mzuri kwako chagua muda wako wowote.

Mix fruit salad with kijiko kimoja cha karanga au korosho, kusiwe na banana au embe. Changanya vyote pamoja na yoghurt kidogo.

Mchana

Robo ya kuku ya kuchoma pamoja na salad ya kutosha unaweza changanya aina yoyote ile but not carrot. Hakuna kiwango cha salad kula kiasi unachoweza wewe ila angalia kisiwe kidogo. Dressing chukua kijiko cha olive oil changanya na nusu ndimu

Kabla ya saa kumi na moja

Cucumber(Tango) moja pamoja na guacamole ya nusu ovacado dogo.

Kumbuka

Kutosahau kunywa maji lita 2, mpaka ifikapo muda wa kwenda kulala. Pia kutembea au kufanya mazoezi yoyote angalau kwa saa moja au zaidi. Lala masaa 8 kila siku, jaribu kwenda kulala mapema.

 

 

10 thoughts on “Monday diet”

 1. ngoja nianze, ila itabidi makopo yote ya biscuit na nido powder niyagawe…
  i will let u know, we thank u ..

 2. leo tuko pamoja mamii, ila hapa no beer si ndio? ah ah ah , ila kutembea sasa wapi mamii, natoka hm usiku narudi usiku? please advice na pia kwa juice asubuhi Muh! si unawajua wadada wetu wa bongo? full drama? ila ua nakunywa maji ya moto asb nikiwa ofcn?

 3. My dear Tina, jaribu kutafuta muda bibie hata ikiwa nusu saa kipindi cha lunch ukiwa kazini tembea kuanzia hapo ofisini kwako mpaka kule karibu na bandari na kurudi itafaa pia.

 4. ok mamii, will, sasa leo nime-screw up, nimemtuma m2 salad kaniwekea mustard na mayonaise? ikawa sina jinsi zaidi ya kula hivyohivyo, ila sikununua kuku? nikala karanga kidogo, Asb nilikosa matunda nikala yoghurt peke yake na maji glass moja na nusu?
  will it work?

  1. Hakuna neno mayo na mustard iko poa maana hazina sukari nyingi unaruhusiwa kabisa. Ila jaribu lazima ule tunda kwa siku angalau moja.

  1. Jitahidi mdogo wangu maana ukijiachia hali inakua mbaya zaidi na utashindwa kurudi tena kwenye hali yako ya zamani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Safiri na Zawadi