Tag Archives: hapa ni

Summer Holiday 2014-Day 5-Krabi, Thailand

Kwa wale wanaopenda sea food hapa ni mahali pake karibu kila hotel wanakua na menu nzuri ya fish BBQ mara nyingi iko mida ya jioni, utakuta wamepanga seti nzima nje ambapo wewe unachofanya ni kuchagua unachotaka harafu unachomewa ikiwa fresh kabisa. BBQ inakuja na sweet corn au pototoes pia inakua na veg. Chaguo langu mimi hapa ni Green Papaya salad with BBQ chicken pamoja na sticky rice, ila menu hii inakuaga mchana kwa ajili ya lunch ni nzuri sana :-) Juu kwenye picha inaonyesha dada akitengeneza hiyo green papaya salad.

Our 10th wedding anniversary at Burj Al Arab hotel, Dubai

baba na mama Amika
baba na mama Amika

OMG! Hii hotel kweli ni 7 Star hotel maana kila kitu Gold lol! Katika kutembea kwangu kote sijawahi ona hotel kama hii yaani hapa ni the top. Huduma yao pia ni kiboko, nadhani picha zinajieleza zenyewe. Uwezi amini nilipewa mpaka 21 carat gold Ipad kutumia nikiwa hapo hotelini :) Room yetu ilikua hatari.