On our way to a weekend gateway @Shangri-La Hotels. Aug, 2012

With my lovely family

 

Weekend hii tumeamua ngoja tukajiachie Barr Al Jissah Resort & Spa with my family and my baby sis Tina. Zikiwa ni hotel tatu, Al Husn Hotel ambayo hii no kids allowed, Al Bandar Hotel na Al Waha zote kwa pamoja zikiwa chini ya Shangri-La Hotels. Ilituchukua almost 45mins drive from our house to the hotel and the view on the way to the hotels is increadible hakuna kuchoka kabisa. Yeah…..let the weekend begin…..