Amsterdam, Holland. June, 2011

Ibis Airport Hotel Amsterdam

 

Too bad we didn’t have much time to spend in Amsterdam, we had only one day. Lakini tuliweza tumia muda wetu vizuri.  We stayed at Ibis Hotel Airport. Tulipata muda wa kuzunguka kwenye neighbourhood.  Angalua kupata picha kidogo ya maisha ya wadutch. Panapendeza ila tungependa kuona nchi zaidi, tutapenda kurudi tena safari hii kukaa zaidi ili tuweze tembelea sehemu mbali mbali. The hotel na service zake zilikua nzuri sana tulifurahi kwa kweli. Amani aliweza kufanya shopping aliyokua anasubiria kwa hamu sana, kununua KLM plane toy ili aweze kuwaonyesha rafiki zake back home, he was so happy to get it.

6 thoughts on “Amsterdam, Holland. June, 2011”

  1. Zawadi mie nitahakikisha kile ‘kidume changu ‘kinapiga’ hodi home kwenu ili kichukue huo bintiyo

  2. Jamani Zawadi umekuja Holland hata kututafuta tu kwenye simu. It would have been nice we would have come to say hello hata for an hour.

    Karibu sana next time ukiwa Holland. Enjoy your stay in Thailand. Bye

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *