Category Archives: Italy

Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina Cruise Ship-Venice, Italy

 

Port Venice tukisubiri kuingia melini
Port Venice tukisubiri kuingia melini

Tulianza safari yetu na meli ya MSC Divina 2nd Nov tukitokea Venice kuelekea Miami Florida. Safari yetu itatuchukua 18 nights tukikatiza Atlantic ocean, tutapata nafasi ya kutembelea nchi kadhaa zikiwemo Malta, Malaga Spain, Madeira Islands Portugal, St. Maarten and San Juan, Puerto Rico

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Kabla ya kuingia ndani ya meli lazima kupiga picha ya welcome aboard
Kabla ya kuingia ndani ya meli lazima kupiga picha ya welcome aboard

Welcome aboard! MSC Divina Christened in 2012 by Sofia Loren, the ship is 333,30 metres long and 37,92 metres wide. MSC Divina combines timeless elegance with cutting-edge technology, offering a wide range of recreation facilities and services for your enjoyment. Her 1350 crewmembers are all here to ensure your personal comfort and safety and to help make your cruise unforgettable. Have a wonderful vacation! by Captain, Francesco Veniero

Amani akalilia picha ya peke yake na akaipata lol!
Amani akalilia picha ya peke yake na akaipata lol!

 

Tukiwa tayari kwenye meli
Tukiwa tayari kwenye meli

 

Tukiwa tayari kwenye meli
Tukiwa tayari kwenye meli

 

Ndani ya meli ya MSC Divina
Ndani ya meli ya MSC Divina

 

Our cabin
Our cabin

 

Our home for another 18 nights
Our home for another 18 nights

 

Binti Malaika akijaribisha sofa bed
Binti Malaika akijaribisha sofa bed

 

Meli ikianza kuondoka Venice
Meli ikianza kuondoka Venice

 

Nautical Information: When we leave the maritime station we will start sailing along the fascinationg Venetian lagoon, going back the Gludecca Channel and following St. Mark’s Channel, along which we will be able to admire on our right the renowned St. George’s Church. St. Mark’s Square is the only official square in Venice since all the public square-shaped paces are called “campi” (fields). After passing the Channel, we will get out of the lagoon through Porto di Lido, where the pilot will disembark and we will take a South-West route in the Adriatic sea heading to our next port of call. Suggestion dress tonight: CASUAL

Our around the world trip Nov-Dec, 2013-Venice, Italy-Day 1

 

With my baby girl
Nikiwa na binti yangu Malaika nje ya hoteli tuliyofikia, tayari kwa kuingia mtaani

 

Tuliwasili Venice Italy salama kwenye mji uliyojengwa juu ya maji kama unavyoitwa na watu wengi. Baada ya kucheck in kwa hotel tukaingia mitaani nasi kujumuika na watalii wenzetu kushangaa lol! Tulikua na bahati siku hii hali ya hewa ilikua nzuri jua lilikua linawaka vizuri na kufanya watalii kuwa wengi sana mitaani. Sasa sio kupigana vikumbo uko utafikiri tulikua sokoni lakini kwa jinsi mji ulivyo mzuri kila mtu alikua anaonekana na furaha. Venice ni moja kati miji mashuhuri duniani wenye historia kubwa.

 

DSCN3574
Nikiwa na familia yangu

 

DSCN3576
Venice, Italy

 

20131101_144639_5_bestshot
Venice, Italy

 

20131101_141249_3_bestshot
Pizza za hapa ni kiboko

 

P1050523
Pizza time with my family

 

DSCN3589
Mjini Venice, Italy with my kids Amani and Malaika

 

DSCN3593
Mama Amika mwenyewe ndani ya Venice, Italy

 

Mara yangu ya kwanza kuja kwenye mji huu ilikua ni 2002 wacha mtanzania mimi nishangae maana kila kitu nikiangalia kwangu kilikua ni kigeni lol! Unaweza angalia kwenye post ya VENICE, ITALY 2002 kwenye post za nyuma. Nakumbuka vizuri jinsi nilivyoupenda mji huu nikasema lazima nirudi tena, furaha iliyoje nimeweza rudi tena ingawa imechukua miaka kumi lol! Ningependa kurudi tena ila safari hii nataka iwe summer maana vipindi vyote hivi viwili tumekuja wakati wa winter, inasemekana summer kunapendeza zaidi ila kwa wale wasiopenda kubanana summer si nzuri kwao inasemekana watalii wanakua wengi sana kulinganisha na kipindi cha winter. Tutakuwepo hapa kwa siku mbili then tunachukua cruise ship kutokea hapa Venice to Miami Florida, yaani tunasubiri kwa hamu kweli kukatiza Atlantic ocean to America kama Titanic vile  :)

Pompeii Naples Italy

Over 2000 years old wall painting. Pompeii City, 2003

 

Tulikuja mji huu special kwa ajili ya kutembelea mji wa Pompeiiambao ulifunikwa na volcano miaka ya 79AD. Ilikua furaha kubwa kwangu kuweza kupata chance ya kutembea kwenye street ambazo watu wa miaka mingi sana walikua wakitumia. Pompeii’s ruins, a jump back to the Roman era in a town destroyed by the Vesuvio eruption in the 79 ad and preserve in a status unique in its kind. 

Tulifika Naples by Train tukitokea Venice tulikaa hapa siku 2. Mjini Naples sikukupenda sana ulikua uko just okey sidhani kama ningependa kurudi tena ila kitu ambacho nilifurahi sana ni kutembelea huu mji wa Pompeii.

Historia ya mji huu inasikitisha sana hasa ukipata nafasi ya kuangalia masalio ya watu na wanyama ambao wamekauka kabisa na moto wa volcano. Inasemekana hakukuwa na taarifa yoyote walichoona ni mwanga kama vile wa jua kumbe ulikua moto mkali sana.

Walivyoufukua mji huu walikuta kila kitu kipo kama kilivyokua kabla ya Volcano ambapo maisha yalikua yanaendelea kama kawaida waliokutwa wakitembea, kulala hata wale waliokua shughulini walikutwa wamekauka hivyo hivyo. Ikanifanya nikumbuke mambo ya biblia kuwa siku ya mwisho hata taarifa haitakuwepo utakapo kuwa ni huko huko. Masalio mengi ya vitu vilivyokutwa kwenye mji huu yameifadhiwa kwenye Museum ya Naples. Kwa upande wangu ilikua funzo kubwa maana kabla ya hapo nilikua sijui kama kitu kama hiki kipo.