Kitu kikubwa katika safari yangu ya kuelekea miaka minne ilikua ni kuanza my Pre-School. I love my school, my teachers ambao ni 3 wakiongozwa na Mrs. William pia nimepata marafiki wengi ambao wote tuko darasa moja Pre-School W.
My teacher Mrs. WilliamsTulifanya mambo mengi shule kuanzia kupanda nyanya..Kusoma vitabu library..Arts...Games & PuzzlesReading booksPia tuliweza kuwa piratesTuliwakilisha National DayCostume partyYes, I'm tigerTiger AmaniSiku za PE day tunavaa white
Niliweza kwenda summer holiday na kufurahia mambo mengi sana. Nilipata nafasi pia ya kutembelea nchi mbali mbali ikiwemo Singapore ambapo ndio tulianzia our summer holiday
Ndani ya Qatar Airways to SingaporeTukiwa tumewasili Singapore AirportTukiwa SingaporeThe view from chumba chetu cha hotel SingaporeAdventure tukiwa Sentosa SingaporeNilifurahia hii adventure na my dad, Sentosa SingaporeNikiwa na dada yangu Malaika na baba ndani ya gari tukielekea Airport tayari kwa safari ya kuelekea AustraliaMi nikiwa ndani ya gari
Baada ya kupata fun Singapore tulielekea Brisbane Australia huko tulikwenda moja kwa moja Gold Goast. Nilipata nafasi ya kutembelea Dream World na kupata nafasi ya kutembelea Wiggles House at this time nilikua nawapenda sana.
Tukiwa tumewasili Brisbane Airport AustraliaNilipenda holiday house ambayo tulipanga ilikua swimming pool...Pia ilikua na garden nzuri sanaSiku iliyofuata tulienda kuangalia wanyama zoo, hapa nikiwa na my little sis MalaikaNilifurahia kuona Kangaroo na kupata nafasi ya kukaa nae karibu...Pia kupata nafasi ya kumpa chakula, alikua ni Kangaroo mzuri yuko rafikiTulipata pia muda wa kucheza tukiwa zoo, hapa nikiwa na dada yangu MalaikaNikifurahi na kuchezaSiku iliyofuata tulienda Dream World, hapa nikiwa na Malaika na Captain FeatherswordTukizunguka kwenye Dorothy Diagnasor cupPia nilijaribu water flume ride nikiwa na my daddy, big sis Hayley & MalaikaPia niliendesha taxi carNilifurahi sanaNikiwa na my mummy & my sis MalaikaHatukuweza maliza kwa siku moja, tumerudi siku inayofuata. Nikiwa na my mummy & my sis MalaikaAawww....Nilijaribu michezo mingi sanaHapa nikiwa na my sis MalaikaNikiwa na family tukipata breakfastNimefurahia sana hapa, kesho tunaelekea mji mwingine Adelaide
Baada ya kufurahia Gold Coast safari ya kuelekea Adelaide ilifika ambapo nilienda kukutana na ndugu zangu wengi.
Tulifikia Hyatt Hotel Adelaide kwa siku kadhaa hapa nikiwa na dada Malaika in our roomNikiwa na mama na dada Malaika Hyatt Regency Hotel AdelaideNilipata nafasi ya kutembelea park ambayo iko karibu na hotelNikiwa na shemeji Sarah na kaka BradNikiwa na dada Malaika & cousin NatashaAt the beach with cousin Natasha & sis MalaikaTukiwa ndani ya vintage car ya uncle Neville nyumbani kwakePizza night with family
Baada ya kutoka Adelaide tulienda kumsalimia dada yangu Jenny anayeishi Hobart (Tasmania)
Nikiwa na sis Jenny pamoja na her fiance DavidWith my mummy & sis Malaika
Tulivyotoka Hobart tulielekea Sydney kutembea maana mama anakupenda sana.
Nikiwa Opera House Sydney Harbour with my mummy & sisNilitembelea Opera House, Sydney Harbour with my mummy & sisNikiwa Sydney Harbour with my mummy & my sis MalaikaNikiwa na my daddy & my sis, Sydney HarbourMi iko lala choka sana. Nyuma yangu ni view ya Opera House Sydney
Hapa ilikua ni sehemu yetu ya mwisho Australia, kesho tunasafiri kuelekea Malaysia for few days then Krabi Thailand harafu tunamalizia holiday yetu Bangkok then back home.
Nikiwa nje ya Twin Tower MalaysiaNimeshafika Krabi Thailand nikifurahia beach, hii beach wanasema one of the most beautiful in the world. I'm happy to be hereTuko ndani ya boat tukielekea mjini kwenda kujifunza kupika Thai foodTulienda kujifunza kupika Thai food hahahaaa...Tukiwa busy mimi na dada yanguNikiwa na dada yangu Skye, my daddy & Malaika pembeni ya pool tukipata lunch
Baada ya kurelax kwa siku chache Krabi tulielekea Bangkok. Nime enjoy sana kwenye hii holiday yangu, my asante kwa mama na baba xoxo
Thailand bila kupanda tembo haiwezekani, hapa nikiwa na mama kwenye Elephant ride
Pia nilipata nafasi ya kutembelea Tanzania ambapo tulienda na mama na mdogo wangu Malaika.
Nikiwa na dada yangu nje ya Airport tukifurahia zawadi alizotuletea aunt Judy
Ilikua ni furaha tele pale dada Skye na shemeji Simon walipokuja kututembelea na kula Christmas pamoja nasi, niliweza kwenda nao kutembea country side na kujionea mambo mengi.
Nikiwa picnic na shemeji Simon, dada Skye & my little sis MalaikaNikiwa Jeber Shams with my daddy & MalaikaNikiwa na my sis at Jabrin Fort
Muda wa Xmas ulivyowadia nilikua na furaha tele maana hii itakuwa Christmas yangu ya nne na Santa alikua very generous kwangu mwaka huu nilipata zawadi nyingi sana.
Asubuhi ya Xmas ndio nimeamka tu na kukuta Santa kaleta zawadi nyingi kwenye tree, niko very happyMoja ya zawadi zangu, nawapenda sana ReptilesHapa shemeji Simon akinisomea kitabu changuNikiwa na my mamaKama kawaida jioni tulienda kupiga Xmas photo ni traditional yetuXmas photo nikiwa na my familyMy 4th XmasMy 4th Xmas
Mambo mengi niliweza fanya katika safari yangu ya kuelekea miaka minne pia sikupata tatizo la kuumwa au kusumbuliwa na kitu kikubwa. Mama anasema inabidi niwe namshukuru mungu kila wakati kwa kunipa afya njema na maisha niliyonayo. Namshukuru sana mungu kaniwezesha kufikisha miaka yangu minne salama.
Niko happyNikiwa na dada yangu Malaika tukiwa tumetoka kuogaBirthday party, I'm a tigerNikiwa na aunt Tina xxNikiwa chumbani kwetu
Napenda sana baloonsNikicheza chumbaniCan't wait to be 4
sweet kid,happy 4 years
Thanks aunt Tina…xoxo
Hello it’s me, I am also visiting this website regularly, this site is actually nice and the visitors are genuinely sharing fastidious thoughts.
Hi Leanne,
Thanks & you’re most Welcome :)