My 2nd born child, Malaika Imani Linda Kakoschke was born on the 21st of September 2007. Weighing in at 4.5kgs (almost 10 pounds in the ‘old’ units). Another blessing – what can I say but I thank you Lord for this blessing. Yeeeh! It’s a girl, furaha ilioje jamani.
Muda mchache baada ya kuzaliwa
Masaa machache baada ya kuzaliwa
Kazaliwa kibonge kweli hapa ana masaa machache tu
Siku ya kwanza kaka Amani kaja niona
With my family
Nimezaliwa leo
Aunt Judy nae alikuwepo
Kila mtu alikua very happy kwa ujio wangu
Sleeping
Siku yangu ya kwanza
Awwww...with my kaka, siku yangu ya pili
Mara yangu ya kwanza home in my kitanda, siku ya tatu
Siku ya nne
Siku ya tano
Siku yangu ya sita
Siku yangu ya tano
With my aunt Judy, siku yangu ya sita
Siku yangu ya sita with aunt Judy
With aunt Judy
With aunt Judy, siku yangu ya sita
One thought on “My baby Malaika”
Mbona nakuona kama umenenepa mama? angalia mtasha asikuache kwa kunenepa! hahahaaa
Mbona nakuona kama umenenepa mama? angalia mtasha asikuache kwa kunenepa! hahahaaa