Wednesday, 20th Nov: Asubuhi tuliondoka melini na kuelekea hotelini. Tulifikia Holiday Inn long beach hotel ambayo iko kabisa kwenye hii beach mashuhuri. Tulikaa hapa usiku mmoja tu na kesho yake tulikodi gari ambayo tuliendesha wenyewe to Orlando.

picha nzuri mamiii
Mwaah! mi penda wewe sana Mercy, thanks!
xoxo
bado nakumbushia kazi kazi kazi ndio kila kitu am comming with a entertainment show itaitwa bongo movie nahitaji kuona na my safari inaanza kuwa edited aunt zawadi plssssss don’ let me down
Sawa dear usijali my celine
xoxo