Leo ilikua ni siku yetu ya mwisho hapa Cook Islands. Tuliondoka usiku na Air New Zealand to Auckland then another flight to Sydney, Australia.Muda wa asubuhi tuvisit local market ambapo tulipata nafasi ya kufanya shopping kidogo pia kupata local lunch. Kitu kilichonifurahisha zaidi ni kupata nafasi ya kuona local musician wakiimba na kucheza, lovely :)
The sea water around this area is so clear and the beauty of the lagoon is wow!. Tulistop hapa One foot island home of Survivor Cook Islands kwa masaa kadhaa na kupata muda wa kuswim na kurelax. Our tour guard alikua mmoja wa local ambao walihusishwa wakati wanarecord kipindi hicho so alikua na habari nyingi kweli za kutueleza lol! The guy is so nice na anavichekesho kweli :)
Siku yetu ya pili hapa Aitutaki Island tuliitumia kwa kurelax kwenye beach, huku Amani na Malaika wakitumia ipatasavyo siku hii kwa kucheza na kuswim all day lol! Watoto wangu wanapenda sana outdoors ni kwamba walivyokua USA walikua kama wamefungiwa vile, tulivyotua tu Cook Islands walijiachia ipasavyo:) Beach za hapa ni nzuri sana, maji yake meupe pia yenye kina kifupi sana ambapo unaweza kutembea kwa umbali mkubwa bila kupata kina kirefu.
I do love this hotel nikipata nafasi ya kurudi tena Las Vegas nitajitahidi lazima nikae tena hapa lol! Nadhani siko peke yangu kwenye hili maana Amani na Malaika waliataka kukesha kwenye dirisha so waone dancing water ambayo kuanzia saa mbili usiku, shoo ilikua kila baada ya dk 15. Ilibidi tufunge mapazia na kuzima TV ili tusione au kusikia music tuweze lala la sivyo nadhani tungekesha :) I did well kwa kweli nilichagua hotel nzuri maana ilikua muda wa mama kuchagua hotel anayopenda :)
I do love Vegas kwa kweli, hapa kila mtu yuko kwa ajili ya kuhave fun na ndio raha yake yenyewe. Hii ni mara yangu ya pili kuja hapa mara ya kwanza ilikua kwenye honeymoon yangu 2004. Baada ya kuamka na kuchange kwenye mummy’s hotel choice tulielekea Ihoop pancake house yaani siwezi kuja Marekani bila kuvisit pancake house lol! Kama kawaida utalii muhimu ilibidi tusimame kwenye bango la Las Vegas kwa ajili ya picha ya kumbukumbu :) Oh dear, siku hizi America kila kitu ni foleni yaani kuna watu wengi kila sehemu, fikiria mpaka hapa kwenye bango kuna foleni ya kupiga picha. Baba Amika akajionea isiwe tabu cha muhimu ni kupata picha inayoonyesha bango akasema mke wangu simama hapo pembeni tujipigie picha haraka tujiondokee, ingawa picha hazikuwa nzuri sana maana kuna watu wanaonekana nyuma yetu but tulipata picha ya bango la Las Vegas lol!
Was so nice to meet Mange na familia yake in Las Vegas nao walikua hapa kwa ajili ya holiday. Siku zote huwa napenda wazazi ambao wanapata nafasi ya kusafiri na watoto wao na kupata experience hii kwa pamoja inapendeza sana. Huwa nampenda sana Mange so nilifurahi sana kuwaona hapa, namuombea aendelee kubarikiwa siku zote yeye na familia yake.
Yaani ilikua kama bahati vile siku hiyo hiyo nilipata nafasi ya kuonana na my fb friend Kathleen Kuntz akiwa na mumewe na wifi yake, nao walikua Las Vegas kwa ajili ya weekend. Was very nice to meet you Kathleen :)
Wednesday, 20th Nov: Asubuhi tuliondoka melini na kuelekea hotelini. Tulifikia Holiday Inn long beach hotel ambayo iko kabisa kwenye hii beach mashuhuri. Tulikaa hapa usiku mmoja tu na kesho yake tulikodi gari ambayo tuliendesha wenyewe to Orlando.
Kama kawaida siku ya Gala night watu wanaulamba kisawa sawa lol! Hii Gala dinner night ilikua special maana tulipata wakati wa kuwashukuru wahudumu, mameneja pamoja na wapishi kwa siku zote tulizokua melini. Waliingia kwa style yao kwanza taa zilizimwa then waiters wakaingia na staili yao ya kipekee huku wamebeba cakes zenye mshumaa mkubwa katikati, it was very special kwa kweli :)
Baadae walizikata na kuzileta mezani kwa wale waliotaka kula dessert, Amani akiwa mmoja wapo natania akuweza kuila maana ilikua na kilevi ndani yake, akulifurahia hilo kabisa maana aliitamani haswa.
DID YOU KNOW? MSC has more than a million Facebook fans worldwide and the number just keeps on growing. You can click “like” and be one in a million to keep up to date on the latest.
NAUTICAL INFORMATION FROM CRUISE: During the day we will continue our navigation with a North Westerly route towards Miami, in evening we will assume a Westerly route and continue our navigation in the Providance channel towards the port of Miami.
Sunday, Nov 17. Ni siku ya day at sea tulipata nafasi leo kuona show ya watoto ambayo wamekua wameandaa kwenye kids club Malaika alifanya vizuri sana kwenye hula hoop, too bad Amani alikua anaumwa siku ya leo kwa hiyo hakushiriki.
A WARM WELCOME ABOARD MSC DIVINA! Are you ready for a fun-packed cruise? Your children and you are about to embark on a holiday filled with new experiences and good times! Hii tulipewa pindi tu tulivyoingia kwenye meli.
Kila siku entertainment team walikua wanaandaa program kama vile games, activities, parties and events kwa watoto wa kila age, keeping them happy kutoka asubuhi mpaka jioni.
Ili wazazi wapate kurelax na kuenjoy some quality time huku wakijua watoto wao wako safe in expert hands.
A DIVA ON BOARD: It’s easy to feel like a star on this designer fleet. Or to find yourself alongside one. Like screen legend Sophia Loren who has stayed in the MSC Yacht Club Fantasia Class flagships no less than three times- on MSC Fantasia in 2008, MSC Splendida in 2009 and MSC Divina in 2012.
Wednesday, Nov 13th. Leo ni usiku wa gala and it’s my fav kama watoto wangu wanavyosema lol! Pia ni siku yetu ya tano majini kwenye bahari ya Atlantic kabla atujaona nchi kavu.
DID YOU KNOW? It was back in 1675 when the Aponte family welcomed its first passengers on boardits ships. Since then, over the last 300 years, the experience has grown considerably and so the fleet. Today, It’s the largest privately owned cruise company in the world.
NAUTICAL INFORMATION FROM CRUISE THIS DAY: Our transatlantic navigation continues with a South-Southwesterly route. This immense body of water was formed 150 million years ago and appears to be one of the youngest oceans. The ocean has contributed significantly to the economic development of the nations that surround it, not to mention being one of the most important commercial routes. Suggested dress tonight: GALA