So, after we had our lunch and fish pedicure we headed to Al Bustan Palace Hotel for coffee/tea,oooh what a lovely place, I loooove the entry road to the hotel, it’s so green uwezi amini kama uko eneo la jangwa. To be honest Al Bustan Palace is one of a kind, I can’t explain how but It’s just beautiful aiseeey it is trully a Palace :)))
We love Railay Krabi, tunazidi kurudi hapa karibu kila mwaka, mambo yanabadilika kwa kasi sana. Maendeleo yanaongezeka mara ya kwanza tulipokuja 2003 kulikua na hoteli chache sana, sasa hivi zimeongezeka maradufu na kufanya kuwepo na choice nyingi ya wapi upate lunch au dinner.
Kitu ambacho bado hakijabadilika ni ukarimu wa watu nadhani ndio sababu kubwa ambayo inatufanya tuendelee kurudi. Ni sehemu ya kila mtu uwe single, couple au ukiwa na watoto kila mtu atafurahia holiday yake.Sisi bado tunafikia the same hotel kila mara tukiwa Railay Krabi Sunrise Hotel kwa kweli hatuna cha kucomplain kabisa kuhusu hotel hii. Huduma zao ni nzuri sana na wafanyakazi wake ni wakarimu kweli pia bei yao ni ya kuridhisha.