Dar es Salaam, 2008 & 2009

Kempinski Hotel

 

Holiday ya kipindi hiki pekee ndio nilipata nafasi ya kukaa kwa muda mrefu nyumbani karibu miezi miwili hivi. Nakumbuka tangu niondoke Dar mwanzo wa mwaka 2002 sijawahi kurudi nyumbani na kukaa zaidi ya wiki 2, kipindi hiki kilikua so special kwangu niliweza fanya mambo mengi ambayo niko proud nayo. Pia niliweza kuwaleta Amani na Malaika kuja kuwatembelea ndugu zao wa huku na familia yangu kupata nafasi ya kuwaona watoto wao. Kitu kingine cha kupendeza ni dada zake Amani & Malaika walipata nafasi ya kuja tembelea Tanzania kwa mara ya kwanza wakitokea Australia. Kila mtu alikua happy kwa kweli….

 

 

One thought on “Dar es Salaam, 2008 & 2009”

  1. they photo was nice, those year ulikuwa mneneee now i can see! na mm nitapungua kweli kama wewe???

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *