Our around the world trip Nov-Dec 2013-Madeira Islands, Portugal

 

With hubby in Madeira Islands
With my hubby at Pico Areeiro, Madeira Islands

Madeira’s five-century-old capital is said to have been named ‘Funchal’ is located in an absolutely unique area. The “amphitheatre” of the city begins at the harbour and raises almost 1200 mt high on gentle slopes. Kisiwa hiki ni kizuri naweza jiona mimi kuishi hapa. Hali yake ya hewa ni mchanganyiko kutoka joto mpaka baridi, kwa mfano hapa tulipo ni juu sana ambapo hali ya hewa ukilinganisha na Funchal mjini ni tofauti kabisa huku kuna ukungu pamoja na kiubaridi.

DSCN3767
Tukiwa ndani ya taxi tukielekea juu kabisa ya kisiwa hiki

 

My kids Amani and Malaika in Madeira Islands
My kids Amani and Malaika in Madeira Islands

 

With my hubby
With my hubby at Pico Areeiro, Madeira Islands

 

Amani
Hapa alipo Amani ni juu kabisa ya milima ya kisiwa hiki, kuna upepo balaa

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Baba Amika
Baba Amika

 

With my kids
With my kids

 

DSCN3802

DSCN3809

DSCN3806
Milima yake inapendeza sana

 

DSCN3811

DSCN3813

Kwa kweli Madeira Islands ni pazuri sana ni sehemu yenye mandhari nzuri na yenye utofauti mkubwa ndani ya kisiwa kimoja. Mfano ukiwa eneo la port ambapo hali ya hewa ni tropical na ukipanda juu kidogo hali ya hewa inabadilika na ukifika juu kabisa kwenye hills hali yake ya hewa ni baridi, mawingu na ukungu na jua pia. Inafurahish sababu utakiwi kusafiri sana kupata haya mabadiliko ni dk chache tu unajikuta kwenye hali ya hewa tofauti. It’s beautiful! I love it!  :)

2 thoughts on “Our around the world trip Nov-Dec 2013-Madeira Islands, Portugal”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *