Thursday diet

Asubuhi

Maji nusu lita baada tu ya kutoka kitandani.

Tembea kwa dk 45. Kama asubuhi si muda mzuri kwako chagua muda wako mwingine.

Mix fruits salad changanya na small yoghurt(mtindi) pia kiganja kimoja cha nuts aina yoyote utakayo.

Mchana

Samaki mmoja wa kawaida aliyekaangwa au kuchemshwa angalia unayopenda wewe pamoja na salad ya kutosha unaweza changanya ya aina yoyote ila isiwe na carrot. Kiwango cha salad unaweza kula kiasi chochote unachoweza wewe ila jitahidi isiwe kidogo. Dressing chukua kijiko cha olive oil changanya na nusu ndimu.

Kabla ya saa kumi na moja

One apple pamoja na kijiko cha peanut butter. Kama huna apple unaweza kula tunda lolote lililopo ila isiwe ndizi au embe.

Kumbuka

Usisahau kunywa maji lita 2, mpaka ifikapo muda wa kwenda kulala. Pia usisahau kutembea au kufanya mazoezi yoyote angalau kwa saa moja au zaidi. Lala masaa 8 kila siku, jaribu kwenda kulala mapema.

2 thoughts on “Thursday diet”

    1. Katakata slices za apple unakua unachova kwenye peanut butter, unakula kama snacks vile.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Safiri na Zawadi