Tuesday diet

Asubuhi

Maji nusu lita baada tu ya kutoka kitandani.

Tembea kwa dk 45 au zaidi. Kama asubuhi si muda mzuri kwako chagua muda wako mwingine.

Glass moja ya mix smoothie ya papaya na orange juice, jaribu kuweka ambayo iko nzito kidogo.

Mchana

2 Boil eggs, vijiko viwili vya maharage yaliyochemshwa, ovacado ndogo moja au nusu ovacado kama ni kubwa mix na salad yoyote ambayo unapenda wewe ila usiweke carrot.  Dressing, chukua kijiko cha olive oil changanya na nusu ndimu.

Kabla ya saa kumi na moja

Small yoghurt, kiganja kimoja cha korosho or karanga or 12 almonds.

Kumbuka

Usisahau kunywa maji lita 2, mpaka ifikapo muda wa kwenda kulala. Pia usisahau kutembea au kufanya mazoezi yoyote angalau kwa saa moja au zaidi. Lala masaa 8 kila siku, jaribu kwenda kulala mapema.

 

8 thoughts on “Tuesday diet”

    1. Hakuna kula usiku mamii si unakula kitu before 5pm? ukisikia njaa sana usiku kunywa chai ya viungo au green tea ila bila sikuri utazoea tu. Ndio maana unatakiwa kwenda kulala mapema angalau saa tatu usiku.

  1. ila sasa mtihani ninao, nxt wk nasafiri naenda Arusha? worse of all its the whole week

    1. Usijali mrembo kwani huko hakuna nyama choma na matunda wewe angalia unavyoweza kama utafikia hotelini lazima watakua na matunda muda wa breakfast km hawana jaribu kununua na kuweka chumbani pamoja na maji. Kuhusu lunch jaribu kutembelea sehemu ambazo wanakuwa na vitu vya kuchoma na mboga za majani acha usile kabisa vitu vya wanga(carbs)

    1. Vyakula visivyotakiwa kwenye diet yangu ni ambavyo vina wanga kama vile wali, ugali, chapati, mandazi, viazi, makande, etc yaani vyote vyenye carbs. Pia utakiwi kula veg zenye sukari kama vile carrots matunda unaruhusiwa ila usile ndizi or embe maana yanasukari nyingi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Safiri na Zawadi