Our around the world trip Nov-Dec 2013-1st gala dinner night on MSC Divina cruise ship

 

Siku ya leo captain alikua anatoa nafasi ya kujitambulisha kwa wageni na kupiga nao picha. Tukiwa na captain wa MSC Divina
With Captain Francesco Veniero, leo alikua akijitambulisha kwa wageni na kupiga nao picha.

Today is 3rd Nov na tutakua at sea. Ni relaxing day usiku ni formal night ambapo kutakua Gala Cocktails na watu wote wanatakiwa kuuramba haswa wanaume suti na tai, wanawake kuvaa gown zao maridani bila kusahau watoto pia. It’s lovely :)

Family photo on MSC Divina cruise ship
Family photo on MSC Divina cruise ship

 

Amani and Malaika dressed up for gala night
Amani and Malaika dressed up for gala night

Siku ya kwanza lazima huwa wanauliza ungependa kula dinner saa ngapi maana kuna 2 dinner seating ya 6 oclock na 8 oclock. Si tulichagua 1st dinner seating ambayo ni 6 oclock. Meza unayopewa ndio mnatakiwa kukaa kila siku at the same time mpaka mtakapo ondoka melini ila ni usiku tu. Kama utaki kwenda restaurant ya seating unaweza kwenda kwenye Buffet Calument ambapo hapa unapata chakula muda wote wanakuwa wazi masaa 20 kwa siku.

At our dinner table itakua yetu for the next 18days at 6pm
At our dinner table itakua yetu for the next 18days at 6pm

 

Malaika at Black Crab restaurant
Malaika at Black Crab restaurant

 

Amani at Black Crab restaurant
Amani at Black Crab restaurant

 

At MSC Divina lobby
At MSC Divina lobby

Baada ya dinner tulielekea kwenye Pantheon Theatre ambapo leo kulionyeshwa show ya WONDERLAND a wonderful world of imagination. It was wonderful!  :)

NAUTICAL INFORMATION: At approximately 7:00am, following our navigation towards the southern coast of Italy, we will near the city of Vieste, which will be visible on the right side at a distance of more or less 10 nautical miles. From here you will be able to admire the hills of Gargano, located adjacent to the city of Gargano. Around 12:30pm, we will pass in front of the city of Brindisi, visible on the right side of the ship, at a distance of more or less 7 nautical miles. Afterwards, at around 4:00pm, we will leave the Adriatic Sea and enter the Ionian Sea through Otranto’s strait, following a route with a South-Western heading to the Island of Malta. Suggested dress tonight: GALA

DID YOU KNOW?

FROM VENICE TO MIAMI WITH LOVE: MSC Divina is the first Fantasia class ship to sail to North America and the first MSC cruise ship to offer year-round Caribbean sailings.

Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina cruise ship-Day 1

 

Melini
Hapa nilipo ni Aqua Park katikati ya meli juu ambapo inatumika sana kwa outdoors entertainment

Siku zima ya kwanza meli ilikua baharini. Baada ya kuwapeleka watoto kwenye kids club baba na mama Amika tukawa huru pia kupata nafasi ya kuzungukia meli kujua hiki na kile kiko wapi. Kwa kweli meli ni kuwa na nzuri sana kama inavyoonekana kwenye picha.

On MSC Divina cruise ship
On MSC Divina cruise ship

 

At Aqua Park, melini
At Aqua Park, melini

 

At Aqua Park, melini
At Aqua Park, melini

 

Meli ikiwa Atlantic ocean
Meli ikiwa Atlantic ocean

 

Huu ni upande wa nyuma kabisa wa meli kwenye deck 15
Huu ni upande wa nyuma kabisa wa meli kwenye deck 15

 

At Golden Bar ndani ya meli
At Golden Bar ndani ya meli

 

At Golden Bar
At Golden Bar

 

At Black Crab restaurant
At Black Crab restaurant

 

Dinner time
Dinner time at Black Crab restaurant

 

My starter
My starter

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Mr. Amani
Mr. Amani

 

Holidaying is hard work
Holidaying is hard work

 

Theater ndani ya meli
Pantheon Theatre

 

Baada ya kuzunguka hapa na pale melini bila kusahau mama Amika kupiga picha :) ulifika muda wa kwenda chukua watoto kids club. Uzuri mwingine mkubwa wa hii meli ni wana program nzuri sana za watoto, wana watu maalum ambao wamesomea kuangalia watoto. Program zao zinaanzia watoto wadogo kabisa kuendelea mpaka teenagers. Meli ikiwa majini watoto tunawapeleka saa tatu mpaka saa saba mchana then kuanzia saa tisa mpaka saa kumi na moja au mpaka saa tano usiku hapo katikati unaweza wachukua kwa ajili ya chakula cha jioni ila siku nyingine huwa wana program ya kula chakula kwa pamoja na watoto wenzao. Kwa namna hii inawapa wazazi nafasi nzuri ya kufurahia maisha ya kwenye meli, nikiwa mmojawapo lol! :)