Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina cruise ship-Day 1

 

Melini
Hapa nilipo ni Aqua Park katikati ya meli juu ambapo inatumika sana kwa outdoors entertainment

Siku zima ya kwanza meli ilikua baharini. Baada ya kuwapeleka watoto kwenye kids club baba na mama Amika tukawa huru pia kupata nafasi ya kuzungukia meli kujua hiki na kile kiko wapi. Kwa kweli meli ni kuwa na nzuri sana kama inavyoonekana kwenye picha.

On MSC Divina cruise ship
On MSC Divina cruise ship

 

At Aqua Park, melini
At Aqua Park, melini

 

At Aqua Park, melini
At Aqua Park, melini

 

Meli ikiwa Atlantic ocean
Meli ikiwa Atlantic ocean

 

Huu ni upande wa nyuma kabisa wa meli kwenye deck 15
Huu ni upande wa nyuma kabisa wa meli kwenye deck 15

 

At Golden Bar ndani ya meli
At Golden Bar ndani ya meli

 

At Golden Bar
At Golden Bar

 

At Black Crab restaurant
At Black Crab restaurant

 

Dinner time
Dinner time at Black Crab restaurant

 

My starter
My starter

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Mr. Amani
Mr. Amani

 

Holidaying is hard work
Holidaying is hard work

 

Theater ndani ya meli
Pantheon Theatre

 

Baada ya kuzunguka hapa na pale melini bila kusahau mama Amika kupiga picha :) ulifika muda wa kwenda chukua watoto kids club. Uzuri mwingine mkubwa wa hii meli ni wana program nzuri sana za watoto, wana watu maalum ambao wamesomea kuangalia watoto. Program zao zinaanzia watoto wadogo kabisa kuendelea mpaka teenagers. Meli ikiwa majini watoto tunawapeleka saa tatu mpaka saa saba mchana then kuanzia saa tisa mpaka saa kumi na moja au mpaka saa tano usiku hapo katikati unaweza wachukua kwa ajili ya chakula cha jioni ila siku nyingine huwa wana program ya kula chakula kwa pamoja na watoto wenzao. Kwa namna hii inawapa wazazi nafasi nzuri ya kufurahia maisha ya kwenye meli, nikiwa mmojawapo lol! :)

4 thoughts on “Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina cruise ship-Day 1”

  1. woh! sasa na mimi itabidi niwe serious kumtafuta mzungu anayejua traveling lol

    uli-enjoy to the maxmum mamii

    picha zuri sanaaaaa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *