Tulitumia usafiri wa barabarani kufika hapa Khao Sok tukitokea Krabi, ilituchukua muda wa masaa 2 na nusu hivi. Tulifikia Baan Khao Sok Resort ambapo tuliamua kuwa na adventure kidogo na kufikia kwenye Tree House kama inavyoonekana kwenye picha. Hii ilikua special kwa Amani na Malaika maana wanapenda sana tree houses. Tulivyofika furaha iliyokuwa usoni mwao ili kuwa na dhamani kubwa. Walianza kuzunguka na kutupa story nyingi tu kuhusu Tree Houses ilikua kichekesho kweli nadhani shule zikifunguliwa itakuwa ndio habari mpya kwa rafiki zao.
Tulikaa hapa kwa siku 3 ila kwa bahati mbaya siku zetu zote tukiwa hapa kulikua na mvua za manyunyu ambazo zinakatika na kuanza. Tulisikitika sana maana plan zetu ilibidi zibadilike tulikua na mpango wa kwenda lake tour ambapo ni lake nzuri sana pamoja na jungle Elephant ride. Ila tuliweza kufanya River Tubing kwenye Sok River ambayo ilikua much fun. Kwa ujumla ilikua real adventure baada ya kulala kwenye Tree House for 3 days tulikumbuka real house maana hapa ilikua ni unyevu unyevu kwenda mbele kutokana na joto lililokua kali na mvua zisizoisha feni haikusaidia sana. Ila kwa upande mwingine tulikua happy kuona watoto wamefurahia sana maana sababu haswa ya kuja hapa ilikua ni kwa ajili yao. Hata baada ya holiday kuisha bado wanaendelea kuzungumzia hii experience. Kwa ujumla ni sehemu nzuri hasa kwa watoto, ila nadhani muda mzuri wa kwenda ni kipindi ambacho si cha mvua hahahaaaa…
For sure these two love water, this day they stay in the water more than 3hrs
Amani & Malaika
Mama wawili
Mama Amika
Having fun at Phra Nang Beach
Malaika with her sis Skye having a drink at Railay Beach
Amani at Railay Beach
Amani's having fun at Railay Beach
Amani & Malaika at Phra Nang Beach
Ilikua furaha kwetu kurudi tena Krabi and enjoy one of the best beach in the world Phra Nang. Kama kawaida tulifikia Sunrise Beach Resort tumekua tunafikia hapa since 2003. Uzuri wa Railay kumetulia sana hakuna mambo ya haraka haraka hapa just relax and enjoy if you want to go for a swim, spa or just have a lazy day yote poa tu. Jioni mambo huwa yanachangamka sana hasa Railay beach, I like to sit kwenye mkeka and have a drink huku uki enjoy sunset. That’s way I like it, cheers!!!
Over 2000 years old wall painting. Pompeii City, 2003
Majiko yao yalikua namna hii
Masalio yaliyokutwa Pompeii City
Wall painting
Sanamu za miaka hiyo
Wanyama nao walikutwa hivi
Maskini mtu wa watu yeye alikutwa hivi
Inside Pompeii City
Poor guy, kweli volcano si mchezo
Pompeii City
Pompeii City
Mabaki ya watu inasikitisha kwa kweli
Pompeii Sauna
Pompeii street
Over 2000 years old wall painting, The lost city Pompeii 2003
Wall painting, uwezi amini picha hii imechorwa thousands yrs ago
Wall painting
Volcano mountain
The lion door, Pompeii Stadium
Pompeii Stadium
Pompeii Stadium
Pompeii Stadium
Garden in Pompeii
Naples
Hubby inside Pompeii
The Pompeii entry
The entry to Pompeii
Tulikuja mji huu special kwa ajili ya kutembelea mji wa Pompeiiambao ulifunikwa na volcano miaka ya 79AD. Ilikua furaha kubwa kwangu kuweza kupata chance ya kutembea kwenye street ambazo watu wa miaka mingi sana walikua wakitumia. Pompeii’s ruins, a jump back to the Roman era in a town destroyed by the Vesuvio eruption in the 79 ad and preserve in a status unique in its kind.
Tulifika Naples by Train tukitokea Venice tulikaa hapa siku 2. Mjini Naples sikukupenda sana ulikua uko just okey sidhani kama ningependa kurudi tena ila kitu ambacho nilifurahi sana ni kutembelea huu mji wa Pompeii.
Historia ya mji huu inasikitisha sana hasa ukipata nafasi ya kuangalia masalio ya watu na wanyama ambao wamekauka kabisa na moto wa volcano. Inasemekana hakukuwa na taarifa yoyote walichoona ni mwanga kama vile wa jua kumbe ulikua moto mkali sana.
Walivyoufukua mji huu walikuta kila kitu kipo kama kilivyokua kabla ya Volcano ambapo maisha yalikua yanaendelea kama kawaida waliokutwa wakitembea, kulala hata wale waliokua shughulini walikutwa wamekauka hivyo hivyo. Ikanifanya nikumbuke mambo ya biblia kuwa siku ya mwisho hata taarifa haitakuwepo utakapo kuwa ni huko huko. Masalio mengi ya vitu vilivyokutwa kwenye mji huu yameifadhiwa kwenye Museum ya Naples. Kwa upande wangu ilikua funzo kubwa maana kabla ya hapo nilikua sijui kama kitu kama hiki kipo.
Stratophere Top of the World Restaurant, Las Vegas
My favourite small town Zion
Zion Park Inn
Meteor Crater
On the way to Top of the World Restaurant Stratophere, Las Vegas
Ouside our hotel Stratophere
Our hotel Maswik Lodge Grand Canyon
Maswik Lodge Grand Canyon
Grand Canyon
After dinner Stratophere Top of the World Restaurant, Las Vegas
Stratophere Top of the World Restaurant, Las Vegas
Stratophere Top of the World Restaurant, Las Vegas
Stratophere Top of the World Restaurant, Las Vegas
Meteor Crator
Grand Canyon
Small town Zion
Small town Zion
Zion town
Grand Canyon
Star Trek Res, Las Vegas
My hubby in Star Trek Res, Las Vegas
Nevada
Meteor Crater
Grand Canyon
Grand Canyon
Grand Canyon
Small town Zion
Hii ilikua part ya honeymoon yetu. Nachopenda kuhusu hii safari ni kwamba tulidrive all the way to Las Vegas, tulitumia muda wa wiki moja kufika Las Vegas kwa sababu tuliamua kusimama na kulala sehemu mbali mbali on the way. Pia tulitembelea Meteor Crater pamoja na Grand Canyon ambapo tulilala usiku mmoja. Kwa kusema ukweli safari hii ni moja ya safari ambazo nilizipenda sana mpaka leo imeshapita miaka karibu saba bado naikumbuka kama jana vile, ningependa tena kufanya safari kama hii sehemu nyingine duniani. Hii ilituwezesha kutembelea na kuona maisha ya real Amarican people maana tulikua tunasimama kwenye small town na kulala kwenye small motels.
Wakati tukiwa njiani tulisimama kwenye mji mmoja kuweka mafuta pamoja na kununua drinks. Kwa nini nimekumbuka huu mji ni kwamba ulikua wa kushangaza sana ulikua tofauti sana na miji yote ambayo tumepita, this small town watu wake walikua wako very strange yaani jinsi wanavyovaa ni kama watu wa miaka mingi sana nguo ndefu na ambazo zina staili moja pia wanafuga nywele ndefu kwa wanawake na kufunga kama mabutu mawili au moja. Wanawake wote walivaa staili zinazofanana pia wanaume. Gari letu lilivyokaribia tu kwenye mji huu tuliona watu wanatuchungulia toka majumbani tulivyofika Petrol Station mambo yalikua yale yale. Tukadhani labda upande huu ni ule upande wanaoishi wale wabaguzi wa rangi ukilinganisha mimi ni African tukaona bora mimi nibaki kwenye gari Mr. yeye aingie dukani kwa ajili ya kulipia mafuta na kununua drink. Aliporudi hata yeye alishangaa sana akasema kwa kweli mji huu uko tofauti bora tundoke mara moja hatukuweza jua kisa na mkasa wa huu mji.
Baada ya mwaka mmoja kupita siku moja naangalia Oprah Winfrey Show then hapo ndipo nilipata jibu. Kumbe mji unaitwa Colorado City ambao uko Arizona, watu wanaoishi hapa wanadini yao ya tofauti inayoamini maisha ya wake wengi pia ni ruska kwa wasichana wadogo kulewa na watu wazima ambao wamewazidi miaka mingi sana. Kitu cha kushangaza ni kwamba watu wengi hawakuwa wanajua kitu kama hiki kiko kwenye nchi iliyoendelea kama America. Wamarekani wenyewe walishangaa na kusikitishwa kuwa kitu kama hiki kipo na kinaendelea nchini kwao. Pia tukajifunza kuwa kuna mengi ambayo yanaendelea kwenye mji huu ambao kwa ujumla ni vya kushangaza pia hawataki wageni kwenye mji wao ndio sababu kubwa ya wao kutuchungulia na kukimbilia ndani. Baada ya kumaliza kuangalia na kuelewa kwa undani nilibaki mdogo wazi na kusema wow!
Baada ya kutoka Colorado City Arizona tuliendelea na safari yetu kama kawaida. Mji mwingine ambao ulinifurahisha sana ni small town call Zion. Iko katikati ya desert ambao umezungukwa na milima mikavu katikati yake ndio kuna huo mji. Tulilala Zion Park Lodge na kupata nafasi ya kuzungukia mji kidogo nilipapenda kwa kweli ni pazuri sana.
Tulipoanza kuingia Las Vegas mambo yakaanza kubadilika ghafla mambo yakawa ni kufurahisha tu. Tulivyofika tu Stratophere Hotel nilibaki mdogo wazi kama vile nilikua naangalia movie kumbe si movie ni hali halisi hiyo. Tuliposimamisha gari tu wafanyakazi wakaja kwa kasi na kutufungualia milango ya gari huku wengine wakitoa mizigo kwenye gari na kutuomba ufungua wa gari kabla hata sijamaliza kushangaa naona gari letu hilo linaondoka na kwenda sijui wapi yaani lilipotea machoni mwetu ghafla ndio nikakumbuka zile movie nilizokua naona zamani kuwa watu wachukuliwa magari kwenda kupaki mmh! eti leo hii ni mimi nilibaki kutabasabu kabla hayo hayajaisha Mr. ananishika ananishika mkono na tunaelekea hotelini wow! kuelekea reception unahitaji kupitia Casino baadae nagundua kuwa ndio staili ya Las Vegas hiyo karibu hotel zote ziko hivyo.
Tulivyocheck in ikabidi tuzunguke zunguke hotelini hii ni Vegas uwezi kukaa sehemu moja au kulala kila sehemu ni fun tu. Baada ya kuzunguka tukaamua kwenda Casino na nikaamua kucheza Slot Machine ambapo nilikua na kidola changu 20 uwezi amini muda mfupi baadae najikuta nina 200 wacha ninogewe na kuendelea kucheza big mistake baada ya muda kidogo najikuta nimeliwa pesa zote nina ziro mkononi nilichukia huyo, hapo hapo hubby yeye kashinda $120 si nisianze kubembeleza angalau anipe $10 nikiwa na imani kuwa nikicheza nitashinda tena angalau kurudisha pesa zangu. Alichofanya alicheka maana yeye kacheza mara moja kashinda na kaacha kucheza si asinikatalie nilichukia sana nilimnunia karibu siku nzima hata sikuweza kwenda kwenye Stratophere Rides ambapo tulikua na mpango wa kwenda kisa nimeliwa kwenye kamali lol sasa nikikumbuka naishia kucheka si aibu ilioje. Ila ukweli ni kwamba mpaka leo nataka siku nikienda tena Vegas lazima nicheze nilirudisha $200 zangu hahahaaa…
Uzuri sikuacha mambo ya kamali yaniharibie honeymoon na mwisho wake tuliishia kuipenda Las Vegas kupita kiasi, tuliweza tembelea sehemu mbali mbali na kuweza kuenjoy fun za Vegas. Kama kawaida yangu siwezi kwenda sehemu bila kuwa na food favourite, nilipenda sana Strawberry pancakes from I-Hope, sikuwa peke yangu inaonyesha ni sehemu mashuhuri sana kwa pancakes maana foleni ya kuingia si mchezo ila ukishaingia tu utajua ni kwanini.
Tulikaa Vegas kama siku nne, one night tuliweza kwenda romantic dinner at Stratophere Restaurant Top of the World, ilikua fun maana ukikaa huko juu unaona kama vile jengo linazunguka wacha tubishane na hubby mi nikisema kuwa madirisha yanazunguka yeye anasema hapana ni sisi tunazunguka mpaka tulipomuuliza waiter na kutuambia kuwa ni sisi tunazunguka mh! nikaona hii kali nikaona makubwa ya ulimwengu kwa ujumla tulienjoy sana. Pia tulitembelea Star Trek, hoteli mbali mbali, restaurant na bar tofauti na kila moja ina mvuto wake ni kweli mambo ya Vegas yaache Vegas kwa kweli. Muda wetu wa kukaa hapa ulionekana mdogo sana siku nne hazikutosha kwa kweli lazima turudi tena.
The roof top restaurant, Banyan Tree Hotel Bangkok.
Our room
Kitanda hicho jamani
The bed
The room
The room
Another charm
And the bed
The bathroom
Nice
The bathroom
The bath tub
The shower
Mi penda hii sana
Check this out
The bath tub, I had to use this
Thai style good luck charm
This is what u can find in the room
OMG our room was fantastic!
Happy kids, Amani and Malaika
Pool side
Pool time, Malaika
Pool time, Amani
Bath time
That smile say all
Happy mama
Mama yao akina Amika
Hapo chacha
The bed
On my way out, shopping time
Nap time, my Amani
Malaika with babysitter
Banyan Tree Hotel
Banyan Tree Hotel
Reading menu
The menu
Hubby and I
Hubby and I
The soup
At the roof top restaurant
Hubby main course
My main course
Dessert
At the roof top restaurant
At the roof top restaurant
At the roof top restaurant
Banyan Tree Hotel
At the Lobby
After dinner
Safari hii tulikaa Banyan Tree Hotel Bangkok baada ya kucheck in tulielekea kwenye room yetu OMG room yetu ilikua wow! Tulichukua Club Suite ambayo ilikua ni breath taking. Baada ya kupumzika kidogo nilimuachia hubby watoto and mum alielekea shopping maana Bangkok na shopping ndio kwenyewe. Usiku hubby treated me a dinner at the roof top restaurant ambayo ilikua amazing and the food was delicous bila kusahau the view is to die for. Kids tuliwaacha na babysitter ambapo Hubby alikua amesha arrange, haya ndio mambo ya Thailand bwana :))))))
With family Hayley, James, Skye, Malaika and Amani
Kwa wale wapenda cocktail
With Amani
Hotelini
Amani
It's a breakfast time
Nice
Beautiful beach, Malaika & I
My kidos
Kaka na dada
The beach
Boat iliyoniangusha lol!
Mambo ya madafu
Thanya beach resort
Around the hotel
The beach
Our hotel
In the boat ready for tour
Kisiwani
The Island
The Island
The view of Island
It's snorkling time
The table set
Our last night with the hotel lady, she was amazing kwa kweli
With Skye, Hayley, James, Hubby, Amani and Malaika
With my family
Special dinner setting
With hubby
Keep discovering
Hubby, Hayley, Skye & Malaika ndani ya train tuliamua kupata another adventure by kutumia overnight train from Thanya to Bangkok
Beautiful sunrise at Thanya Beach Resort
Thanya Beach Resort
Another beautiful Island, was a low season so we had all beach for ourself and that we call fun. We stayed at Koh Ngai Thanya Resort kwenye kisiwa kuna only 5 hotel maana ni kisiwa kidogo tu. Nimeondoka na kumbukumbu ya aina yake toka kisiwani hapa wacha nidondoke toka kwenye boat siku yetu ya kwanza tu tulivyofika. Bahari kidogo ilikua haijatulia mrembo mimi naanza telemka toka kwenye boat somehow mahesabu yangu yakakataa kutokana na boat kucheza cheza nilichojistukia niko chini mzima mzima na vitu vyangu vyote ndani ya maji kwa kweli ilichekesha sana ila nilichukia kweli pale nilipoona watu wote wanacheka. Maskini simu yangu mpya wacha ilowe na maji ya chumvi ndio ikawa mwisho wake but anyway sikutaka holiday yangu iende vibaya muda mchache ikabidi nichangamke na kuanza kuenjoy and that’s way I like it. Cheers!!!!!
Oh Oh Oh no no no ilikua inatisha kweli ukiangalia chini maana niko juu sana
With other tourist
Nusu ya safari muda wa kupumzika with hubby, Skye & James
Adventure
Flight of the Gibbon
Flight of the Gibbon
Hubby
Another kiss
Crossing one tree to another
Flight of the Gibbon
Flight of the Gibbon
Us
Another kiss
Now unaweza ona tulivyo juu angalia kamba inapopita
What a tree!
A kiss
With hubby
Flight of the Giddon
Happy us
With hubby almost the end our our Flight of the Giddon adventure
Hubby, Skye & Malaika
The Tent
Malaika choka sana
Muonekano wa ndani ya Tent
The showers
Mtu wa kusafisha yuko hapo muda wote
Angalia kulivyokua kusafi jamani
I like it
Nice
Angalia kulivyo kusafi
The bathrooms
The way to go to the bathrooms
Amani & Malaika love the place
It's morning time
Nice
Beautiful place
Amani and his big sister Hayley
Malaika
Around the hotel
Our Tents
About nature
Nice!
Awwwww....
Love this pic. Malaika
What a place!
Amani & Malaika wanafurahia nature
Beautiful flower
My family
Beautiful place kwa kweli
Around the camp
Amani anafurahia nature
Hubby & Malaika around the camp
Naelekea reception
The ride ya kuelekea reception
Our last day tuko tayari kwa kuondoka
Amani & Malaika
Kwenye hotel
The hotel
Flight of the gibbon
What an adventure! Baada ya kuenjoy Pattaya tukaenda Khao Kheeo kupata adventure ya Flight of the Gibbon ni sehemu maalum imetengwa kwa ajili ya national park. Tulifikia Estete ni Tents hotel ina mandhari ya kuvutia sana. Pia nilifurahishwa sana na design ya bathroom zake ambazo zilikua zina usafi wa hali ya juu. Kipindi hiki kilikua ni cha mvua kidogo ambapo kwa upande wangu nilifurahia sana kulala kwenye tents huku mvua inanyesha ilinikumbusha mbali sana enzi hizo nilipokua nafanya kazi Red Cross Kasulu Kigoma Tanzania.
Was nice kuona upande mwingine wa Thailand ambapo huku ni mainland. Na kupata adventure ya kutembelea Zoo mida ya usiku ambapo tuliweza kumsogelea Tiger kwa karibu zaidi and of course without forget Flight of the Gibbon oh dear another new adventure in my life, that’s way I like it. Cheers!!!!
At Krabi Airport, I had to have massage here while we were waiting for other family member to arrive. How nice!
With Amani at Krabi Airport
Malaika at Krabi Airport
With Malaika at Krabi Airport
Amani & Malaika at the Krabi Airport
Waiting for our boat
On our way to Railay Island
Malaika in the boat
On our way to Railay Island
With my hubby in the boat on our way to Railay Island
Malaika at Railay beach
Amani at Railay beach
At Railay beach
With family, It's time for cocktail after a walk at the beach
With family hubby, Hayley, Skye, Malaika and Amani
At nearby hotel
Malaika
At nearby hotel
At nearby hotel
Amani with his snake
Amani with his snake
Amani's proud of his toy snake
U can find this BBQ setting in the evening at some hotel in Railay
Malaika and I, like this photo
I feel like a star lol!
At Railay beach
Hahahaaaa no comment
With my family in a Rastafaaian bar. It was much fun
In a Rastafaaian bar
Amani & Malaika
Here she goes
Hubby and Malaika
Malaika learning to swim
Around the pool
Around the pool
Happy me
Around the garden Sunrise Resort
Our last day Sunrise Resort
With my kids our last day in Krabi
Thai cooking class
On the way to the hotel
With the family
Siamini mara ya kwanza nilikuaja hapa miaka saba iliyopita, hii ni mara yangu ya nne. Kitu cha kuchekesha na kizuri ni kwamba kila tukirudi wanatupa the same room ambayo tulikaa 2003 how sweet. Sunrise Resort and Railay never disappointed us and again we had an awasome time. No adventure this time just relax and enjoy until next time cheers!!!!
We had to eat our cooking of course. It was delicious
With our cooking teachers
My cooking
Red Chicken Curry
Chicken green curry, my Thai cooking
Railay beach
Malaika at Railay beach
Railay beach
Railay beach
Railay beach
Amani at Railay beach
Malaika and her siste Skye
Railay beach
Railay beach
We're in the boat on our way to Krabi town
Love Thai style
Our Villa
Beautiful hotel garden
Hubby, Skye, Amani & Malaika having lunch at the pool
Sweet Thai lady
Malaika with Orchid flowers in her hair
Amani & Malaika enjoy the hotel garden
Amani
Malaika
Hubby, Malaika & Skye
Malaika with her sister Skye in the boat
Hubby, Skye, Malaika & Amani in the boat on our way to Krabi town
My boy and I on an Elephant
Amani and I juu ya tembo
Hubby, Skye & Malaika
Elephant tour
Our last day in Krabi. In the boat on the way to the Airport
Thai cooking class
We love Railay Krabi, tunazidi kurudi hapa karibu kila mwaka, mambo yanabadilika kwa kasi sana. Maendeleo yanaongezeka mara ya kwanza tulipokuja 2003 kulikua na hoteli chache sana, sasa hivi zimeongezeka maradufu na kufanya kuwepo na choice nyingi ya wapi upate lunch au dinner.
Kitu ambacho bado hakijabadilika ni ukarimu wa watu nadhani ndio sababu kubwa ambayo inatufanya tuendelee kurudi. Ni sehemu ya kila mtu uwe single, couple au ukiwa na watoto kila mtu atafurahia holiday yake.Sisi bado tunafikia the same hotel kila mara tukiwa Railay Krabi Sunrise Hotel kwa kweli hatuna cha kucomplain kabisa kuhusu hotel hii. Huduma zao ni nzuri sana na wafanyakazi wake ni wakarimu kweli pia bei yao ni ya kuridhisha.
Amani with his family, brother Brad, sister Hayley and Jenny at Railay beach
My hubby with his daughter Jenny at Railay beach
Wageni wanakaribishwa kwa staili hii at Sunrise Resort
Wageni wanaoingia siku hiyo wanakaribishwa namna hii
Vitanda vya Sunrise Resort Hotel
Sunrise swimming pool
Sunrise Resort pool
Sunrise Beach Resort
Railay beach
Railay beach
Railay
Rafiki yake wa hotelini
Katoto kangu kamechoka jamani
Amani akiwa na baba, dada yake Jenny na wifi yake Sarah
Amani with daddy, sister Jenny and sister in law Sarah
Ndani ya pango at Railay
Ndani ya pango
Ndani ya pango Railay
Walipewa chumba tulichokaa 2003 kabla hata Amani ajazaliwa leo hii kapiga picha sehemu aliyopiga mama yake 2003
Mlango wa kuingilia kwenye pango
Sehemu ya tropical juice muhimu
Kwenda mapangoni
Hayley and Jenny in the canoe
Gari la Sunrise Resort ambalo linakuja chukua wageni kutoka kwenye boat
Beautiful place
Amani's sister kwenye canoe at Railay beach
Amani wangu
Amani with friend
Amani with his brother Brad
Amani with daddy and sister Skye
Amani with daddy and sister Jenny
Amani with daddy at Railay Cave
Amani and daddy at the pool
Amani choka kabisa
Amani akifurahi kwenye pool
Amani at Sunrise Resort pool
Amani with his brother in law Simon
This year sikuweza kwenda holiday nilikua niko hoi na ujauzito wa Malaika. Amani and daddy walienda peke yao bila mimi. Huko Thailand walijumuika na our family iliyokua imetokea Australia. My Amani alikua ana mwaka na miezi mitano tu, ila kwa sababu ameshazoea kusafiri hakusumbua kabisa.