Tag Archives: dubai

Hubby and I in Dubai for 1st time without kids-Celebrate our 10th wedding anniversary 2014

Selfie with hubby

Wakati mwingine siamini eti karibu miaka 13 imepita tangu nikutane na baba Amika. Ingawa tumepitia mambo mengi kwa raha na shida lakini bado tuko na furaha ya ajabu. Namshukuru mungu kwa kila jambo. Siku ya kwanza tulifikia The Address Hotel at Dubai Mall, ili mama apate nafasi ya kufanya shopping. Am I lucky woman or what? I guess I am. Happy me :)