Tag Archives: ya meli

Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina cruise ship-Day 1

 

Melini
Hapa nilipo ni Aqua Park katikati ya meli juu ambapo inatumika sana kwa outdoors entertainment

Siku zima ya kwanza meli ilikua baharini. Baada ya kuwapeleka watoto kwenye kids club baba na mama Amika tukawa huru pia kupata nafasi ya kuzungukia meli kujua hiki na kile kiko wapi. Kwa kweli meli ni kuwa na nzuri sana kama inavyoonekana kwenye picha.

On MSC Divina cruise ship
On MSC Divina cruise ship

 

At Aqua Park, melini
At Aqua Park, melini

 

At Aqua Park, melini
At Aqua Park, melini

 

Meli ikiwa Atlantic ocean
Meli ikiwa Atlantic ocean

 

Huu ni upande wa nyuma kabisa wa meli kwenye deck 15
Huu ni upande wa nyuma kabisa wa meli kwenye deck 15

 

At Golden Bar ndani ya meli
At Golden Bar ndani ya meli

 

At Golden Bar
At Golden Bar

 

At Black Crab restaurant
At Black Crab restaurant

 

Dinner time
Dinner time at Black Crab restaurant

 

My starter
My starter

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Mr. Amani
Mr. Amani

 

Holidaying is hard work
Holidaying is hard work

 

Theater ndani ya meli
Pantheon Theatre

 

Baada ya kuzunguka hapa na pale melini bila kusahau mama Amika kupiga picha :) ulifika muda wa kwenda chukua watoto kids club. Uzuri mwingine mkubwa wa hii meli ni wana program nzuri sana za watoto, wana watu maalum ambao wamesomea kuangalia watoto. Program zao zinaanzia watoto wadogo kabisa kuendelea mpaka teenagers. Meli ikiwa majini watoto tunawapeleka saa tatu mpaka saa saba mchana then kuanzia saa tisa mpaka saa kumi na moja au mpaka saa tano usiku hapo katikati unaweza wachukua kwa ajili ya chakula cha jioni ila siku nyingine huwa wana program ya kula chakula kwa pamoja na watoto wenzao. Kwa namna hii inawapa wazazi nafasi nzuri ya kufurahia maisha ya kwenye meli, nikiwa mmojawapo lol! :)

Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina Cruise Ship-Venice, Italy

 

Port Venice tukisubiri kuingia melini
Port Venice tukisubiri kuingia melini

Tulianza safari yetu na meli ya MSC Divina 2nd Nov tukitokea Venice kuelekea Miami Florida. Safari yetu itatuchukua 18 nights tukikatiza Atlantic ocean, tutapata nafasi ya kutembelea nchi kadhaa zikiwemo Malta, Malaga Spain, Madeira Islands Portugal, St. Maarten and San Juan, Puerto Rico

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Kabla ya kuingia ndani ya meli lazima kupiga picha ya welcome aboard
Kabla ya kuingia ndani ya meli lazima kupiga picha ya welcome aboard

Welcome aboard! MSC Divina Christened in 2012 by Sofia Loren, the ship is 333,30 metres long and 37,92 metres wide. MSC Divina combines timeless elegance with cutting-edge technology, offering a wide range of recreation facilities and services for your enjoyment. Her 1350 crewmembers are all here to ensure your personal comfort and safety and to help make your cruise unforgettable. Have a wonderful vacation! by Captain, Francesco Veniero

Amani akalilia picha ya peke yake na akaipata lol!
Amani akalilia picha ya peke yake na akaipata lol!

 

Tukiwa tayari kwenye meli
Tukiwa tayari kwenye meli

 

Tukiwa tayari kwenye meli
Tukiwa tayari kwenye meli

 

Ndani ya meli ya MSC Divina
Ndani ya meli ya MSC Divina

 

Our cabin
Our cabin

 

Our home for another 18 nights
Our home for another 18 nights

 

Binti Malaika akijaribisha sofa bed
Binti Malaika akijaribisha sofa bed

 

Meli ikianza kuondoka Venice
Meli ikianza kuondoka Venice

 

Nautical Information: When we leave the maritime station we will start sailing along the fascinationg Venetian lagoon, going back the Gludecca Channel and following St. Mark’s Channel, along which we will be able to admire on our right the renowned St. George’s Church. St. Mark’s Square is the only official square in Venice since all the public square-shaped paces are called “campi” (fields). After passing the Channel, we will get out of the lagoon through Porto di Lido, where the pilot will disembark and we will take a South-West route in the Adriatic sea heading to our next port of call. Suggestion dress tonight: CASUAL