Baada ya kucheck in Al Bandar hotel na kuhakikisha kids and aunt Tina wako poa kwenye room yao ni wakati wetu sasa kwenda kwenye mum and dad room. Tulielekea moja kwa moja Al Husn hotel, hakukua na haja tena ya kucheck in. Wow! ndio neno lililonitoka baada ya kufika Al Husn hotel jamani ni pazuri sana nimepapenda kweli. Tumekua tunapatamani sana hapa ila hatukuweza kufanya hivyo kutokana na sheria yao ya kutoruhusu kids huku juu. Ila safari hii tulijidaije thanks to aunt Tina ambaye yuko nasi kwa ajili ya holiday yake. Tulichukua two rooms one from Al Bandar hotel and another one in Al Husn hotel, lakini ilikua kama vile naishi kotekote vile lol!
We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it.Ok