There are no comments, click here be the first one!
There are no comments, click here be the first one!
http://maisafari.com/wp-content/uploads/2012/05/IMG_9416-300x200.jpg

  Mpaka leo bado kichwani kwangu wimbo wa Zunguka zunguka ambao tulicheza sana kwenye wedding unanizunguka kichwani lol! Tulifurahije harusi ilipendeza sana tena sana. Again Congratulations Grace & Overblessing, happy honeymoon. Cheers!!!!:)))))

There are no comments, click here be the first one!

@Double Tree Hilton Hotel Dar es Salaam

http://maisafari.com/wp-content/uploads/2012/05/IMG_9262-300x200.jpg

  After wedding ceremony ambayo ilifungiwa Azania Front Church walielekea hapa for a drink na kupumzika kidogo kabla ya kuelekea kwenye ukumbi. Congratulations Grace & Overblessing, cheers!!!!:)))))

 

4 Days Holiday In Dar es Salaam. May 3, 2012

http://maisafari.com/wp-content/uploads/2012/05/IMG_9224-300x200.jpg

  After send off party last night, kesho yake kitu cha kwanza ni kutafuta chakula kitamu lol!  Inachekesha sana kweli tunatofautiana hapa naangalia picha za chakula roho yote inanitoka ila hubby yeye anasema kuwa eti chakula kama hiki kinamtoa kabisa …

 

@Grace Send Off Party, 3rd May 2012

http://maisafari.com/wp-content/uploads/2012/05/IMG_9176-300x200.jpg

  Napenda kusema kuwa kushukuru ni kitu kizuri sana hasa pale unapokubali kuwa umesaidiwa na mtu kwa namna moja au nyingine. Rafiki yangu Grace alinisaidia kipindi ambacho kilikua kigumu kwangu ambapo alikua hajui hata kama ananisaidia. Leo hii ilikua furaha …

 

Amani holiday in Sweden to see Aurora

http://maisafari.com/wp-content/uploads/2012/04/IMG_8950-300x200.jpg

  Very happy and lucky kid to have a chance to see it.