Dubai After dinner at Burj Al Arab hotel Dubai-Celebrating our 10th wedding anniversary 2014 25/07/2014 Zawadi 2 Comments mama Amika Baada ya dinner tukaamua kuzunguka na kuenjoy view ya hotel. Kama nilivyosema kabla hii hotel ni nzuri sana kila sehemu ukiangalia ni ya kipekee inanukia gold :) Picha zinaongea zaidi maana siwezi hata kuelezea, amazing! mama Amika