@Sea Cliff Hotel Dar es Salaam with friends, Mar. 2012

Sea Cliff Hotel

 

Nilifurahi kukutana na marafiki zangu kwa pamoja hapa na kupata lunch. Asanteni warembo kwa kufika na tulichekaje jamani, ndio raha ya Dar es Salaam hii jamani xoxo

 

2 thoughts on “@Sea Cliff Hotel Dar es Salaam with friends, Mar. 2012”

  1. its do lovely pics by the way am so happy to see those orphanage kids,i remember the story you gave,their very very happy,chezea kuingia hotel,Masha’allah Mungu atakulipa kwa kila jema ulilowafanyia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *